Mkoa ulikuwa na wilaya sita ambazo ndizo (idadi ya wakazi kwa mabano): Kilosa (489,513), Kilombero (322,779), Morogoro Vijijini (263,920), Morogoro Mjini (228,863), Mvomero (260,525), Ulanga (194,209). Mwaka 2012 imeongezwa wilaya mpya ya Gairo.
Wilaya ya Kilombero iko na idadi ngapi ya watu?
Ground Truth Answers: 322,779322,779322,779
Prediction: